Temba Moja

Temba Moja
Code zimeuwa pozi mazee, hapa
napiga project nikapata akili ya kufanya hii ishu.

Saturday, October 9, 2010

Je kuna umuhimu wa kupiga kura kweli?

Mi naona bora tusiwanufaishe wagombea kwani hakuna mwema. Ni mtazamo wangu tu.